WAZIRI MASAUNI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KITUO KIKUU CHA POLISI DODOMA, AHOJI MAHABUSU NA NDUGU ZAO WALIOFIKA KITUONI, WANANCHI WAPONGEZA ASKARI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amefanya ziara ya kushtukiza Kituo Kikuu cha Polisi Dodoma kwa ajili ya kufuatilia utendaji kazi wa Kituo hicho. Waziri Masauni aliwasili kituoni Februari 1, 2023 ambapo alikutana na wananchi Katika kituo hicho ambao walifika kwa ajili ya kuwachukulia dhamana ndugu zao waliopo katika mahabusu ya